Kazi za Haraka kwa Kila Mtu
Winga inakuunganisha na wafanyakazi bora au kazi bora katika sekunde chache. Tuma kazi, pata maombi, na lipa kwa usalama â yote kwa simu yako.
5,000+
Wafanyakazi
1,200+
Kazi za Kila Siku
98%
Kuridhika
WANAOTUAMINI
Malipo kwa Code ya Siri
Hakuna kuchelewa kwa malipo. Muajili anatoa code ya tarakimu 6 anaporidhika na kazi. Mfanyakazi anaweka code â pesa inaingia moja kwa moja kwenye mkoba wake (wallet).
- Pesa salama kwenye escrow mpaka kazi ikamilike
- Code ya tarakimu 6 â rahisi na salama
- Malipo ya papo hapo â hakuna kusubiri
- Ada ya jukwaa: 12% tu
Weka Code ya Malipo
Ingiza code uliyopewa na muajili
Malipo yatatumwa kwa M-Pesa/TigoPesa
Kategoria za Kazi
Tafuta kazi au wafanyakazi katika aina mbalimbali za ustadi
Kwa Nini Winga?
Jukwaa limetengenezwa kwa Watanzania, na Watanzania
Malipo Salama
Pesa yako iko salama kwenye escrow. Hakuna hatari â lipa tu ukiridhika.
Haraka Sana
Tuma kazi leo, pata maombi ndani ya saa moja. Kazi za haraka kwa kila mtu.
Kazi Karibu Nawe
Tafuta wafanyakazi au kazi karibu na eneo lako kwa GPS. Rahisi na sahihi.
Inafanya Kazi kwa Simu Yoyote
Imejengwa kwa simu za bei nafuu. Haina haja ya simu ya gharama kubwa.
Lipa kwa M-Pesa
Lipa na pokea malipo kwa M-Pesa, TigoPesa, au AirtelMoney. Rahisi!
Rating na Mapitio
Angalia ukadiriaji wa wafanyakazi kabla ya kuwaajiri. Ubora unadhihirika.
Uko tayari kuanza safari yako?
Jisajili bure leo na uanze kupata kazi au kuajiri wafanyakazi bora ndani ya dakika chache.
đ Bure milele kwa wafanyakazi âĸ Waajiri wanalipa tu wanapoajiri