Bei Zetu
Kila kitu wazi, hakuna malipo yaliyofichwa.
Kwa wafanyakazi, kufungua akaunti na kuanza kufanya kazi ni BURE. Muajiri analipia tu pale ada ndogo ya ushirikiano.
Mfanyakazi
BURE / milele
Sajili akaunti na upate kazi bila gharama ya kujiunga.
- Tengeneza Wasifu Bure
- Pokea asilimia kubwa ya malipo yako
- Tuma maombi ya kazi bila kikomo
Muajiri
Ada 12% tu
Kutuma kazi ni BURE. Unalipa asilimia ndogo kwenye jukwaa pale tu unapofanikiwa.
- Chapisha kazi BURE bila kikomo
- Pesa salama kwenye Escrow yetu
- Angalia wasifu na kuchagua kwa usahihi
- Msaada kwa wateja (Support) wako